Uzinduzi Sera ya Mambo ya Nje kuing’arisha Tanzania kimataifa

UZI (Mei 19, 2025) Rais Samia Suluhu Hassan alizindua Sera ya Mambo ya Nje ya mwaka 2001 Toleo la Mwaka 2024, ikiwa na mambo makuu sita. Katika hafla ya uzinduzi huo Dar es Salaam, Rais Samia anasema mabadiliko ya Sera ya Mambo ya Nje ya 2001 Toleo la 2024 ni matokeo ya mabadiliko na mageuzi … Continue reading Uzinduzi Sera ya Mambo ya Nje kuing’arisha Tanzania kimataifa