Vifaa tiba kukabiliana na kipindupindu Kanda ya Ziwa
SERIKALI imetoa vifaa tiba na kinga vyenye thamani zaidi ya Sh milioni 7 kwenye mikoa mitatu ya Kanda ya Ziwa kwa ajili ya kukabiliana na ugonjwa wa kipindupindu pamoja na dawa za kutibu maji kwa kuua wadudu wenye vimelea vya ugonjwa huo. Hayo yalisemwa Januari 24, 2023 na mganga mkuu wa Serikali, Profesa Tumaini Nagu … Continue reading Vifaa tiba kukabiliana na kipindupindu Kanda ya Ziwa
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed