Vyama vyashauriwa kuweka Dira ya Taifa 2050 kwenye Ilani zao

DAR ES SALAAM :OFISI ya Rais Mipango na Uwekezaji imeshauri vyama vya siasa kuweka Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 kuwa sehemu ya ilani za vyama ili kuwa na muelekeo mmoja na kufanikisha malengo ya dira hiyo. Pia viongozi wa vyama vya siasa nchini vimeshaurikuwe na elimu ya kodi ili kuondoa sintofahamu kati ya walipokodi … Continue reading Vyama vyashauriwa kuweka Dira ya Taifa 2050 kwenye Ilani zao