Wadau wa fedha kidigitali wamlilia Dk Jafo

WADAU wa masuala ya kidigitali nchini wamemuoamba Waziri wa Viwanda na Biashara Dk Selemani Jafo kuanza kuangalia sekta hiyo hasa upande wa usafirishaji fedha kidigitali yenye lengo la kuleta mabadiliko na kujenga jamii jumuishi kwa maendeleo endelevu. Akizungumza katika mkutano wa Waziri wa Viwanda na Biashara na viongozi wa vyama vya biashara Tanzania ulioandaliwa na … Continue reading Wadau wa fedha kidigitali wamlilia Dk Jafo