Waendesha baiskeli 200 kumuenzi Nyerere
DAR ES SALAAM :ZAIDI ya waendesha baiskeli 200 kutoka nchi mbalimbali kushiriki msafara wa Twende Butiama kumuenzi Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar-es-salaam, Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano kutoka kampuni ya simu ya Vodacom, Zuweina Farah amesema Kampuni ya Vodacom na taasisi zake zinalengo moja kwa jamii ikiwa ni Elimu … Continue reading Waendesha baiskeli 200 kumuenzi Nyerere
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed