Wajifungia kujadili usawa wa kijinsia

DAR-ES-SALAAM: Katika kuadhimisha siku ya Wanawake Duniani wadau mbalimbali ikiwemo Hospitali ya Aga Khan Dar es Salaam, Taasisi ya Huduma za Afya za Kiwango cha Juu na wadau wengine wamekutana Kutambua mabadiliko ya tabianchi kama tishio kubwa la afya ya mwanamke ulimwenguni kama Ilivyotambuliwa na Shirika la Afya Ulimwenguni WHO. Akizungumza katika hafla ya uzinduzi … Continue reading Wajifungia kujadili usawa wa kijinsia