Wakulima kupewa elimu kilimo tija

HALMASHAURI ya Wilaya ya Morogoro imeweka mkakati endelevu wa kuwekeza fedha za kutosha kwenye sekta ya kilimo kwa ajili ya utoaji elimu za ugani kwa wakulima ili waweze kuongeza uzalishaji wenye tija wa mazao mbalimbali wakiwemo ya viungo na kuiingizia mapato ya kutosha halmashauri hiyo. Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo, Joanfaith Kataraia amesema hayo kwenye … Continue reading Wakulima kupewa elimu kilimo tija