Watoa huduma msaada wa kisheria kupewa mafunzo

DAR ES SALAAM: SERIKALI imezindua mafunzo kwa watoa huduma wa Msaada wa Kisheria ikiwa ni maandalizi ya Kampeni ya Mama Samia inayotarajiwa kuwanufaisha maelfu ya wananchi wa Dar es Salaam. Mafunzo hayo yanayofanyika kabla ya uzinduzi rasmi wa kampeni hiyo Juni 16, 2025, yamelenga kuwajengea uwezo maofisa na wataalamu wanaotarajiwa kutoa huduma za msaada wa … Continue reading Watoa huduma msaada wa kisheria kupewa mafunzo