Zamu ya Pugu kampeni msaada wa kisheria leo
DAR ES SALAAM: Timu ya Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia imeendelea kutoa msaada wa kisheria kwa wakazi wa Dar es Salaam ambapo leo ni zamu ya wakazi wa eneo la Pugu. Pichani ni mmoja wa wananchi wa Pugu Wilaya ya Ilala aliyefika kupata huduma ya msaada wa kisheria. Aidha, kampeni hiyo inatolewa … Continue reading Zamu ya Pugu kampeni msaada wa kisheria leo
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed