Zamu ya Pugu kampeni msaada wa kisheria leo

DAR ES SALAAM: Timu ya Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia imeendelea kutoa msaada wa kisheria kwa wakazi wa Dar es Salaam ambapo leo ni zamu ya wakazi wa eneo la Pugu.

Pichani ni mmoja wa wananchi wa Pugu Wilaya ya Ilala aliyefika kupata huduma ya msaada wa kisheria.

Aidha, kampeni hiyo inatolewa bure ikiwa ni muendelezo wa utoaji huduma mkoani Dar es Salaam.

Milioni 2 wanufaika na Kampeni ya Mama Samia ya Msaada wa Kisheria

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button