MICHUANO ya Kombe la Mapinduzi inaanza leo kwa mechi ya ufunguzi kati ya wenyeji timu ya taifa ya Zanzibar, Zanzibar Heroes na ya Tanzania Bara, Kilimanjaro Stars kwenye uwanja wa Gombani, Pemba.
Timu nyingine zinazoshiriki michuano hiyo ni Kenya na Burkina Faso.
Fainali ya Kombe la Mapinduzi itafanyika Januari 13.