Kiruswa Jimbo Cup kuongezwa michezo mingine

ARUSHA: NAIBU Waziri wa Madini na Mbunge wa Jimbo la Longido mkoani Arusha, Dk Steven Kiruswa, amesema mwakani mashindano ya Kiruswa Jimbo Cup yatakuja kwa sura mpya kwa kuongeza michezo mingine, ikiwemo mpira wa pete, mpira wa wavu na mpira wa kikapu, kwa lengo la kuibua vipaji vya vijana.
Kiruswa alisema hayo baada ya kuzindua rasmi msimu wa sita wa Kiruswa Jimbo Cup, mashindano yanayowakutanisha vijana kutoka tarafa zote nne za Wilaya ya Longido na kupata bingwa wa soka wa kombe hilo.
Alisema mwaka huu timu 51 zimethibitisha kushiriki mashindano hayo, huku akiwataka vijana wa kike na kiume wenye vipaji vya mpira wa pete, mpira wa wavu na mpira wa kikapu kujiandaa kushiriki mwakani ili wapate fursa ya kujiendeleza kitaifa na kimataifa.

Alisema Longido ina akademi nzuri ya michezo iliyoanzishwa na mpenda michezo na yenye miundombinu yote ya michezo, hivyo ataweka mkono wake kwa kuanzisha mashindano ya michezo hiyo ambayo yatafanyika kila mwaka, kama ilivyo kwa mashindano ya riadha ya Kiruswa Fun Run na soka yanayojulikana kama Kiruswa Jimbo Cup.
Naibu Waziri huyo alisema mashindano ya Kiruswa Jimbo Cup yamefanikiwa kwa kiasi kikubwa katika kipindi cha miaka sita sambamba na riadha, ambapo vijana wamechukuliwa kwenda kucheza katika ligi za madaraja ya juu na wanariadha kuitwa kushiriki mashindano ya kitaifa na kimataifa.
“Sasa nakuja na michezo mingine nayo nataka iwatoe vijana wa kiume na kike Longido kwenda duniani kushindana na kupata fursa za kimaisha kupitia michezo na kujikita katika michezo zaidi na kuacha mara moja kujikita katika ujambazi, dawa za kulevya na ulevi,” alisema Kiruswa.

Naye, Mwenyekiti wa Chama cha Soka Wilaya ya Longido (LDFA), Obeid Mollel, amesema Kiruswa Jimbo Cup ni mashindano yanayokua mwaka hadi mwaka na vijana wengi wamefanikiwa kusajiliwa katika timu za ngazi mbalimbali mkoani humo na ligi daraja la pili na la kwanza baada ya kuonyesha vipaji vyao katika mashindano hayo.
Mollel alisema timu zote zinazoshiriki zimepewa seti moja ya jezi na mpira, huku washindi wakipata zawadi ya fedha taslimu na medali. Hata hivyo, alisema mwakani utaratibu utabadilika kwa kuongeza zawadi ya fedha kuwa nono, huku timu zitakazoshika nafasi tatu za juu zikipewa jezi na mpira, badala ya timu zote kama ilivyo sasa, hatua ambayo inalenga kuongeza ushindani katika soka.
Naye, Mkuu wa Wilaya ya Longido, Salumu Kally, amesema Kiruswa Jimbo Cup ni mashindano muhimu katika wilaya hiyo kwa kuwa yanawapa vijana ubize na kuwafanya wajikite katika soka badala ya kujihusisha na uhalifu, dawa za kulevya na ulevi.

Kally amempongeza Mbunge huyo na kumtaka kuendelea kuungwa mkono kwa hali na mali katika juhudi zake za kuendeleza michezo wilayani humo.
Naye, Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Papa Nakuta, amesema michezo ni sehemu ya ilani ya chama hicho inayosisitiza kuendeleza michezo, hivyo anachofanya Kiruswa ni utekelezaji wa ilani hiyo katika kukuza michezo Jimbo la Longido.
Alisema vijana wanafurahia mashindano hayo ambayo yamekuwa yakionyesha ushindani mkubwa mwaka hadi mwaka.




Hey there, You’ve done a great job. I’ll certainly digg it and personally suggest to my friends.
I’m sure they will be benefited from this web site.
I was very happy to uncover this website. I need to to thank you for ones time due to this fantastic read!!
I definitely enjoyed every little bit of it and i also have you saved to fav to look at new things in your site.
Magnificent beat ! I wish to apprentice while you amend your site,
how can i subscribe for a blog website? The account helped me a acceptable deal.
I had been a little bit acquainted of this your broadcast offered bright clear idea
My web page; Willard
OMT’s interactive quizzes gamify discovering, mɑking mathematics habit forming for
Singapore pupils ɑnd inspiring tһem to press for impressive
test qualities.
Dive іnto self-paced math proficiency wіth OMT’s 12-mоnth e-learning
courses, compⅼete wіth practice worksheets аnd tape-recorded sessions fоr comprehensive revision.
Іn a systеm where mathematics education һas aсtually evolved tߋ cultivate
innovation ɑnd worldwide competitiveness, enrolling іn math tuition ensures trainees remaіn ahead by deepening tһeir undewrstanding аnd application οf essential concepts.
Ultimately, primary school math tuition іs vital fоr PSLE quality,
аs it gears up trainees with the tools tо attain leading bands ɑnd secure favored secondary school positionings.
Ⲣresenting heuristic аpproaches early in secondary tuition prepares trainees fօr the non-routine
troubles thɑt usᥙally aρpear in Ο Level analyses.
Junior college math tuition іs critical for A Degrees as it growѕ understanding of advanced calculus topics ⅼike integration methods ɑnd differential formulas, ᴡhich
аre main tо the test syllabus.
Ꮤһat sets OMT apaгt iѕ its custom-designed math program thаt prolongs paѕt tһe MOE syllabus, cultivating іmportant analyzing hands-օn,
practical exercises.
Variety оf technique inquiries ѕia, preparing уou extensively for any kind
of math test ɑnd muсh better ratings.
By concentrating on error analysis, math tuition prevents recurring mistakes tһаt might ѕet үoᥙ back priceless marks іn Singapore examinations.
Take a look at my web page :: math tuition singapore
Hi there Dear, are you really visiting this website regularly, if so then you will
absolutely obtain good know-how.
This is my first time go to see at here and i am truly impressed to read everthing at one
place.
I have been exploring for a little for any high quality articles
or blog posts on this kind of space . Exploring in Yahoo I at
last stumbled upon this site. Studying this information So i’m satisfied to convey that I have a very excellent
uncanny feeling I came upon just what I needed.
I so much indisputably will make certain to don?t put out
of your mind this site and provides it a glance on a constant basis.
Reddyannaloginid.com: Reddy Anna Book Login Id apk https://friendchat.fun/blogs/52779/Live-Betting-and-Real-Time-Odds-The-Ultimate-Thrill-at
It’s amazing to visit this web site and reading the views of all mates regarding this post,
while I am also eager of getting know-how.
Terrific article! This is the kind of information that
are supposed to be shared across the web. Disgrace
on Google for no longer positioning this post higher!
Come on over and talk over with my website . Thanks =)
Whoa! This blog looks just like my old one! It’s on a totally different topic but it has
pretty much the same page layout and design. Outstanding choice of colors!
I used to be able to find good info from your content.
Hi there, this weekend is nice for me, for the reason that
this point in time i am reading this fantastic educational article here at my home.
Each product offered by Specdobavki is accompanied by the essential certificates and
declarations that guarantee the safety and quality standards of the items.
spec dobavki.
Very soon this website will be famous amid all
blogging and site-building people, due to it’s nice articles
Appreciating the time and energy you put into your site and detailed
information you offer. It’s great to come across a blog every once in a while that isn’t the same out of date rehashed
information. Fantastic read! I’ve bookmarked your site and I’m adding your
RSS feeds to my Google account.
Hello there, You’ve done a great job. I’ll certainly digg
it and personally suggest to my friends. I am confident they’ll be benefited from this site.
my homepage :: Errol