Pwani wajipanga kukabiliana na El Nino

PWANI; Mkoa wa Pwani kupitia timu za maafa umejiandaa kusaidia makundi maalumu wakiwemo watu wenye ulemavu, wazee na watoto wakati mvua za El Nino zitakapoanza kunyesha.
Kauli hiyo imeteolewa na Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Stanslaus Nyongo, alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na maandalizi ya kuchukua tahadhari juu ya mvua hizo zinazotarajiwa kuanza kunyesha mwanzoni mwa mwezi ujao.
Nyongo amesema mkoa unachukua tahadhari kwa makundi yote, ili yawe salama wakati wa kipindi hicho cha mvua hizo ili kupunguza madhara endapo yatatokea.
Pia amewaomba waandishi wa habari kuepuka kutoa taarifa ambazo siyo sahihi au hazijatoka kwenye mamlaka husika.




Cash earning job to earns more than $700 per day. getting paid weekly more than $3500 or more simply doing easy work online. no special skills required for this job and regular earning from this are just awesome. all you need is 2 hrs a day for this job and earning are awesome. every person can get this by follow details here…
THIS→→→→ http://Www.Payathome1.com
Cash earning job to earns more than $700 per day. getting paid weekly more than $3500 or more simply doing easy work online. no special skills required for this jogb and regular earning from this are just awesome. all you need is 2 hrs a day for this job and earning are awesome. every person can get this by follow details here…
THIS→→→→ http://Www.Payathome1.com