

DINGNAN: Timu ya Taifa ya Wasichana wenye umri chini ya 12 leo imetinga nusu fainali ya mashindano ya Kombe la Female Universal Youth yanayofanyika mji wa Dingnan, China.
Imefika hatua hiyo baada ya kushinda mchezo dhidi ya Dingnan uliofanyika kituo cha Dingnan Youth Football kwa mabao 2-0