Tanzania, UNITAID kuimarisha uzalishaji bidhaa za afya nchini

MGANGA Mkuu wa Serikali, Dk Grace Magembe, ametumia fursa ya mkutano wa 158 wa Bodi Tendaji ya Shirika la Afya Duniani (WHO) unaoendelea jijini Geneva, Uswisi kwa mikutano ya pembezoni kuelezea jitihada za nchi za uimarishaji wa huduma za afya.
Akiwa kwenye Mkutano huo, Dk Magembe amekutana na Mkurugenzi wa Programu wa UNITAID, Robert Matiru ambapo katika mazungumzo yao, Dk Magembe amesema mikakati na juhudi zinazotekelezwa na Serikali ya Tanzania ikiwemo za kuweka mazingira wezeshi kwa wazalishaji wa bidhaa za afya.

“Tumetumia fursa hii kukutana na shirika hili leo kwa sababu linafanya kazi na makampuni mbalimbali duniani kwa kuyaunganisha na utaalamu, mabenki na fursa za mikopo nafuu ili kuyawezesha kuanzisha viwanda vya bidhaa za afya zenye ubora na ushindani wa kimataifa,” amesema Dk Magembe
Kwa upande wake Mkurugenzi wa Programu wa UNITAID, Robert Matiru, amesema kuwa UNITAID inaendelea kushirikiana na Tanzania ili kuimarisha uwezo wa Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba Tanzania (TMDA), ikiwemo kuwezesha kupandishwa daraja kutoka ngazi ya tatu kwenda ngazi ya juu zaidi.

Kikao hicho kiliazimia kuimarisha ushirikiano kati ya Tanzania na UNITAID, ambapo wadau wa Unitaid waliahidi kufika Tanzania kukutana na viongozi na wadau mbalimbali, kuendelea kutoa ushauri wa kitaalamu, na kuteua wawakilishi wa mawasiliano (focal persons) kutoka kila upande ili kuharakisha utekelezaji wa makubaliano.




I make up to $90 an hour working from my home. My story is that I quit working at Walmart to work online and with a little effort I easily bring in around $40h to $86h… Someone was good to me by sharing this link with me, so now i am hoping i could help someone else out there by sharing this link…
Try it, you won’t regret it!….. http://www.hot.cash54.com
I just came across this amazing way to earn $6,000-$8,000 a week online! No selling, no struggle—just a simple system that anyone can follow. Mia Westbrook did it, and so can you! Don’t miss out on this life-changing opportunity.
.
Follow Here ……………………… https://Www.Cash54.Com
I am making a real GOOD MONEY (300$ to 400$ / hr )online from my laptop. Last month I GOT check of nearly 18,000$, this online work is simple and straightforward, don’t have to go OFFICE, Its home online job. At that point this work opportunity is for you.if you interested.simply give it a shot on the accompanying site….Simply go to the BELOW SITE and start your work…
.
More Details For Us→→→→→→→→→ https://Www.Payathome9.Com