Mwenge wapitia miradi ya bil 4.8 Bukoba

KAGERA: Miradi sita yenye thamani ya zaidi ya Sh bilioni 4.8 imepitiwa na Mbio za Mwenge wa Uhuru mwaka 2026 katika Halmashauri ya Wilaya ya Bukoba mkoani Kagera, ikiwa na lengo la kuboresha huduma za kijamii na kuongeza fursa za kiuchumi kwa wananchi.
Miradi hiyo imejikita katika sekta za elimu, afya, maji, viwanda, utawala bora na uwezeshaji wananchi kiuchumi.

Akizungumza wakati wa ziara hiyo, Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru mwaka 2026, Wazo Mwang’onda, amepongeza uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Bukoba kwa usimamizi madhubuti wa fedha za Serikali na utekelezaji wa miradi inayokidhi viwango.
Mwang’onda amesema hatua hiyo ni ishara ya uwajibikaji na imekuwa na mchango mkubwa katika kuimarisha huduma zinazotolewa kwa wananchi.

Amesema Serikali imekusudia kuboresha maisha ya Watanzania kwa kuwekeza katika miundombinu ya huduma za kijamii pamoja na miradi inayowawezesha wananchi kiuchumi.
Aidha, amesema watendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bukoba wameonesha moyo wa kizalendo kupitia usimamizi mzuri wa fedha na miradi, jambo linalosaidia kuhakikisha rasilimali za umma zinatumika kwa manufaa yaliyokusudiwa.
Miongoni mwa miradi iliyotembelewa na Mwenge wa Uhuru ni ujenzi wa Zahanati ya Kijiji cha Katangalala, Mradi wa Maji Bumai, ujenzi wa Ofisi ya Kata ya Karabagaine na Kiwanda cha Kuchakata Parachichi.

Miradi mingine ni pamoja na mradi wa vijana wa ufugaji wa samaki kwa kutumia vizimba pamoja na ujenzi wa vyumba vya madarasa kwa ajili ya kuboresha mazingira ya kujifunzia na kufundishia.
Viongozi wamewataka wananchi kuendelea kushirikiana na Serikali katika kulinda na kutunza miundombinu inayojengwa ili iweze kutoa huduma kwa muda mrefu.
Wananchi pia wamehimizwa kutumia fursa zinazotokana na miradi ya kiuchumi, hususan katika sekta za kilimo, ufugaji wa samaki na uchakataji wa mazao, kwa lengo la kujikwamua kiuchumi.
Mwenge wa Uhuru umemaliza mbio zake katika Wilaya ya Bukoba na sasa unaendelea na mbio zake katika Wilaya ya Missenyi mkoani Kagera, ukiwa na ujumbe wa kuhamasisha uwajibikaji, matumizi sahihi ya rasilimali za umma, mshikamano na utekelezaji wa miradi yenye tija kwa wananchi.

HUDUMA BORA ZA UFUNGAJI WA GESI ASILIA KWENYE MAGARI POPOTE ULIPO TANZANIA
Je, unahitaji huduma ya kufunga mfumo wa gesi asilia (CNG) kwenye gari lako? Tupo hapa kukusaidia popote nchini Tanzania! Tunatoa huduma bora, salama na ya kuaminika ya ufungaji wa mifumo ya gesi asilia kwa magari mbalimbali.
Tunajivunia kuwa na wataalamu wenye uzoefu, vifaa, mitambo na ujuzi wa hali ya juu katika ufungaji na urekebishaji wa mifumo ya gesi asilia kwenye magari. Lengo letu ni kukupatia suluhisho salama, la kudumu na lenye gharama nafuu.
Huduma zetu zinajumuisha:
Uchunguzi wa awali wa gari
Tutafanya ukaguzi wa kina wa gari lako ili kuhakikisha linafaa kwa ufungaji wa mfumo wa gesi asilia. Pia tutakupa ushauri wa kitaalamu kulingana na aina na hali ya gari lako.
Ufungaji wa kitaalamu
Timu yetu ya wataalamu itafunga mfumo wa gesi asilia kwa umakini na kwa kuzingatia viwango vinavyotakiwa vya usalama na ubora.
Upimaji na marekebisho
Baada ya ufungaji, tutafanya vipimo vya mfumo mzima na marekebisho muhimu ili kuhakikisha gari linafanya kazi vizuri, kwa ufanisi na kwa usalama.
Huduma ya matengenezo na ukaguzi
Tunatoa huduma za ukaguzi na matengenezo ya mfumo wa gesi asilia ili kusaidia kuhakikisha mfumo wako unaendelea kufanya kazi kwa ufanisi na usalama.
Ushauri wa kitaalamu
Tunakupa maelekezo kuhusu matumizi sahihi ya mfumo, matengenezo na tahadhari muhimu za usalama.
Kwa nini utuchague?
Wataalamu wenye uzoefu
Huduma ya kuaminika na ya kitaalamu
Kuzingatia usalama wakati wa ufungaji
Suluhisho la gharama nafuu
Huduma baada ya ufungaji
Ushauri wa kitaalamu kulingana na mahitaji ya gari lako
Usalama na kuridhika kwa mteja ni kipaumbele chetu.
📞 Wasiliana nasi leo kwa maelezo zaidi, ushauri au kupanga muda wa kukagua gari lako.
0714644157

0714644157.

Usalama na kuridhika kwa mteja ni kipaumbele chetu..

Kuzingatia usalama wakati wa ufungaji,
Suluhisho la gharama nafuu
Huduma baada ya ufungaji
Ushauri wa kitaalamu kulingana na mahitaji ya gari lako
Usalama na kuridhika kwa mteja ni kipaumbele chetu.
📞 Wasiliana nasi leo kwa maelezo zaidi, ushauri au kupanga muda wa kukagua gari lako.
0714644157
HUDUMA BORA ZA UFUNGAJI WA GESI ASILIA KWENYE MAGARI POPOTE ULIPO TANZANIA
Je, unahitaji huduma ya kufunga mfumo wa gesi asilia (CNG) kwenye gari lako? Tupo hapa kukusaidia popote nchini Tanzania! Tunatoa huduma bora, salama na ya kuaminika ya ufungaji wa mifumo ya gesi asilia kwa magari mbalimbali.
Tunajivunia kuwa na wataalamu wenye uzoefu, vifaa, mitambo na ujuzi wa hali ya juu katika ufungaji na urekebishaji wa mifumo ya gesi asilia kwenye magari. Lengo letu ni kukupatia suluhisho salama, la kudumu na lenye gharama nafuu.
Huduma zetu zinajumuisha:-0