Aliyeshiriki tukio la kuchanganya udongo wa Muungano afariki

MWANAMKE aliyeshiriki katika historia ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ya kuchanganya udongo, Khadija Abbas Rashid amefariki dunia akiwa na miaka 74.
Kaimu Mkurugenzi wa Muungano Ofisi ya Makamu wa Rais, Hanifa Selengu amethibitisha leo Agosti 22, 2023 kifo hicho.
Kwa upande wake, binti wa marehemu Aziza Makarani akielezea msiba huo amesema mama yake amefariki leo Jumanne majira ya 8:30 mchana akiwa nyumbani kwao Rahaleo katika Mkoa wa Mjini Magharibi, Zanzibar.
Marehemu alikuwa miongoni mwa walioshiriki katika sherehe ya mfano ya kuchanganya udongo kutoka Tanganyika na Zanzibar , Aprili 26 mwaka 1964.




I think that everything published was actually very reasonable.
But, what about this? what if you composed a catchier title?
I ain’t sying your information isn’t good, but suppoise you added something
to maybe grab people’s attention? I mean Aliyeshiriki tukio la
kuchanganya udongo wa Muungano afariki – HabariLeo is kinda boring.
You should glance at Yahoo’s home page and watch how they create article titles to grb viewers to open the links.
You might add a video orr a related pic or two to get people interested about everything’ve written. In my opinion, it
might bring your posts a little livelier.
Also visit my blog – laguardia to nyu