Haji Manara aibukia bungeni

ALIYEKUWA msemaji wa klabu ya Yanga ya Dar es Salaam, Haji Manara, ni miongoni mwa wageni waliofika leo Septemba 19, 2022 kwa ajili ya kuona shughuli za Bunge, wakati wa kikao cha Tano, Mkutano wa Nane unaoendelea bungeni jijini Dodoma.

Mwezi uliopita, Manara alifungiwa na Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Mpira wa Miguu (TFF),kujihusisha na mpira wa miguu kwa muda wa miaka miwili.

 

Habari Zifananazo

Back to top button