Kiduku, Mandonga kivutio Mtwara

MABONDIA Karim Madonga na Twaha Kiduku wote wa mkoani Morogoro, wamewasili mkoani Mtwara leo kwa ajili ya mapambano yao ya masumbwi Jumamosi wiki hii Uwanja wa Nangwanda Sijaona mkoani Mtwara.

Mabondia hao wamekuwa kivutio mitaa mbalimbali walipopita, huku mashabiki wakiwashangilia.

Habari Zifananazo

Back to top button