Ngajilo ataka wenye ulemavu wasifichwe suala la elimu

IRINGA; Watoto wenye maisha duni wanaosoma katika shule za msingi mjini Iringa wamepata faraja baada ya Mbunge wa Jimbo la Iringa Mjini, Fadhili Ngajilo, kukabidhi msaada wa vifaa mbalimbali vya elimu na mahitaji muhimu, huku akitoa wito kwa wazazi kuhakikisha kila mtoto, wakiwemo wenye ulemavu, anapata haki ya elimu.

Katika hafla iliyofanyika Shule ya Msingi Ugele, Ngajilo alikabidhi magodoro, madaftari, matranka, pamoja na chakula ikiwemo mahindi na maharage, akisema lengo la msaada huo ni kuboresha mazingira ya kujifunzia na ustawi wa watoto wanaotoka kwenye familia zenye mazingira magumu.

Akizungumza na wazazi, walimu na viongozi waliohudhuria hafla hiyo, Ngajilo alisema Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dk Samia Suluhu Hassan imeweka kipaumbele kuhakikisha kila mtoto anapata elimu bila ubaguzi, hivyo hakuna sababu ya kuwaficha watoto wenye ulemavu majumbani.

Alisema watoto hao wana uwezo wa kufikia mafanikio makubwa endapo watapata nafasi ya kusoma na kulelewa katika mazingira yanayowawezesha kutumia vipaji vyao.

“Ninawasihi wazazi msiwafiche watoto wenye ulemavu. Wapelekeni shule kwa sababu huwezi kujua atakuwa nani kesho. Elimu ndiyo ufunguo wa maisha yao na msingi wa mafanikio yao,” alisema Ngajilo.

Alitoa mfano wa watu wengi wenye ulemavu walioweza kufanikiwa katika nyanja mbalimbali za maisha, wakiwemo viongozi na wabunge, akisisitiza kuwa ulemavu si kikwazo cha kufikia ndoto.

Mbunge huyo pia aliwapongeza walimu wanaofundisha watoto wenye mahitaji maalumu kwa kujitolea kwao, akisema kazi wanayoifanya ni ya wito na imeendelea kuwapa watoto hao matumaini ya maisha bora licha ya changamoto wanazokabiliana nazo.

Aidha, aliwataka wazazi kushirikiana kwa karibu na walimu katika malezi na elimu ya watoto wao kwa kufuatilia maendeleo yao ya kitaaluma hata wanaporudi nyumbani, ikiwemo kuwasaidia kufanya kazi za nyumbani (homework), hatua ambayo alisema itachangia kuongeza ufaulu.

Ngajilo alisema uwekezaji katika elimu ni msingi wa maendeleo ya jamii na taifa, akieleza matumaini yake kuwa watoto wanaolelewa na kuelimishwa leo ndiyo watakaokuwa madaktari, wahandisi, walimu, maprofesa na viongozi wa kesho.

Hafla hiyo ilihudhuriwa na viongozi wa serikali, walimu, wazazi na wanafunzi, huku msaada uliotolewa ukitarajiwa kuboresha mazingira ya kujifunzia na kuongeza fursa za watoto wenye maisha duni kupata elimu bora.

Habari Zifananazo

19 Comments

  1. Hey I know this is off topic but I was wondering if you knew of
    any widgets I could add to my blog that automatically tweet my newest
    twitter updates. I’ve been looking for a plug-in like this for quite some time and was hoping maybe you would have some
    experience with something like this. Please let me know if you run into anything.
    I truly enjoy reading your blog and I look forward to your new updates.

  2. Neat blog! Is your theme custom made or did you download it from somewhere?
    A design like yours with a few simple tweeks would
    really make my blog jump out. Please let me know where you got your design. Bless you

  3. It’s appropriate time to make a few plans for the long run and
    it’s time to be happy. I have learn this publish and
    if I could I want to counsel you some interesting things or suggestions.
    Maybe you can write next articles regarding this article.
    I desire to learn more issues approximately it!

  4. This post does a really nice job of combining thoughtful discussion with an relaxed writing style, which helps create a reading experience that feels enjoyable, approachable, and open to different interpretations and opinions.

    e transfer casinos

  5. Swiss players looking for reliable entertainment can register with spinrise switzerland. Enjoy secure financial options, premium game offerings, and VIP rewards tailored to you. Explore top live dealer tables and high-paying online slot machines effortlessly.

  6. What I like most here is the easy-to-follow and careful structure of the post, because it keeps the information clearly structured and easy to follow while still allowing the discussion to feel relaxed, smooth, and engaging for different readers.

    türkiyə porno

  7. The overall structure of this post feels very well paced and clearly arranged, since the ideas connect naturally and the discussion stays interesting without becoming too complicated for readers to follow carefully.

    turkce atyazi porno

  8. What makes this post interesting to read is the way it keeps the information well structured and accessible while still maintaining a conversational style that feels smooth, easygoing, and enjoyable for a broad audience online.

    turkce alt yaz?l? porno indir

  9. It is quite rare to find a summary that hits all the right notes without drifting off-topic, but your post remained focused and delivered a very satisfying reading experience from the very first paragraph.

    turk ifşa porno

  10. I genuinely enjoyed reading through your perspective on this, as it is always beneficial to encounter well-articulated thoughts that provide a straightforward and concise overview of the subject matter without being overly biased.

    extrait film porno gratuit

  11. This is a perfect example of how to write an accessible and useful article. The clear formatting and completely balanced tone made it an absolute pleasure to read through today.

    13 porno

  12. Your ability to summarize such a broad topic into a single, cohesive post is truly commendable. The formatting is clean, the tone is perfectly balanced, and the overall reading experience was extremely positive. Thank you for sharing your work here.
    anal sex porn pills buy amoxicillin

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button