Mtambo wa mabao huu hapa Msimbazi

DAR ES SALAAM: Simba SC wametanga kumnasa mshambuliaji, Ibrahim Doumbia kutoka QS Korofina ya Mali kwa mkataba wa miaka miwili.
Simba SC wanaendelea kutambulisha wachezaji wapya kuelekea msimu mpya wa Ligi Kuu. Hadi sasa wamewatambulisha wachezaji wanne.
Wachezaji hao ni Bakari Msimu, Kelvin Nashon, Nathaniel Chilambo na Ibrahim Doumbia

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button