Rubani apona ajali ya ndege Nepal

NEPALRubani huyo ambaye kwa sasa anapatiwa matibabu ndiye pekee aliyenusurika katika ajali hiyo mbaya.
Rubani huyo ambaye kwa sasa anapatiwa matibabu ndiye pekee aliyenusurika katika ajali hiyo mbaya.
Watu 19 waliokuwa kwenye ndege ya Saurya Airlines iliyokuwa ikifanyiwa majaribio, walikuwa wafanyakazi wa kiufundi wa shirika hilo na wafanyakazi wawili.
Mamlaka ya usafiri wa anga ya Nepal ina rekodi mbaya ya usalama wa usafiri wa anga kwa miaka mingi.



