Utalii

Uchunguzi waanza ajali ya Helikopta Kilimanjaro

UCHUNGUZI kuhusu ajali ya helikopta ya uokoaji iliyotokea katika Hifadhi ya Taifa ya Kilimanjaro (KINAPA) umeanza kwa lengo la kubaini…

Soma Zaidi »

Tanzania,Misri kukuza utalii wa kitamaduni

JAMHURI ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Kiarabu ya Misri zimekubaliana kushirikiana katika kukuza na kuendeleza utalii wa kitamaduni…

Soma Zaidi »

Serikali, wadau kushirikiana kuboresha miundombinu utalii

IRINGA: Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk Ashatu Kijaji, amesema Serikali itaendelea kushirikiana na wadau mbalimbali kuboresha miundombinu katika hifadhi…

Soma Zaidi »

Dk Mwinyi apokea tuzo kivutio bora Afrika

ZANZIBAR: Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Ali Mwinyi, leo amepokea tuzo ya kuwa Kivutio…

Soma Zaidi »

Rais Mwinyi apokea Tuzo ‘Africa’s Best Corporate Retreat 2025’

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ametoa wito kwa wadau wa sekta ya…

Soma Zaidi »

Rais Mwinyi akaribisha uwekezaji wa kimataifa

ZANZIBAR : RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema Zanzibar itaendelea kuwakaribisha wawekezaji…

Soma Zaidi »

Dk.Kijaji aitaka TTB kuongeza nguvu katika utafiti,masoko

SERIKALI kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii imeitaka Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) kuongeza nguvu katika utafiti na masoko ya…

Soma Zaidi »

‘TTB tumieni AFCON 2027 kuongeza watalii’

DAR ES SALAAM: ILI kuhakikisha idadi ya watalii inaongezeka nchini na kufikia milioni nane kwa miaka mitano, Bodi ya Utalii…

Soma Zaidi »

Dk. Kijaji aagiza ukarabati wa Hoteli Mikumi

WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Dk Ashatu Kijaji, amefanya ukaguzi wa ukarabati mkubwa unaoendelea katika Hoteli ya Mikumi ndani ya…

Soma Zaidi »

Waziri Kijaji aitaka Tanapa kuongeza ubunifu

MOROGORO: WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Dk Ashatu Kijaji ameagiza Uongozi wa Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) kuongeza ubunifu wa…

Soma Zaidi »
Back to top button