Utalii

Watanzania waongezeka makumbusho Ngorongoro

IDADI ya Watanzania wanaotembelea Makumbusho ya Jiopaki ya Ngorongoro-Lengai yaliyopo Wilaya ya Karatu mkoani Arusha imeendelea kuongezeka. Makumbusho hayo yalizinduliwa…

Soma Zaidi »

SMZ, Infinity kushirikiana mradi wa uhifadhi utakaogharimu dola mil 12 

Zanzibar: Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, kupitia Wizara ya Utalii na Mambo ya Kale pamoja na Wizara ya Kazi na Uwekezaji,…

Soma Zaidi »

Chande ataka ubunifu kutangaza vivutio malikale

DODOMA: Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Hamad Hassan Chande amehimiza Idara ya Maliakale kuongeza ubunifu katika kutangaza vivutio vya…

Soma Zaidi »

TTB yavipiga msasa vikundi 12 vya utamaduni Singida

Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) imevipatia mafunzo maalum vikundi 12 vya utamaduni wilayani Mkalama, mkoani Singida ikiwa ni sehemu ya…

Soma Zaidi »

Dk.Kijaji:Migogoro ya hifadhi itatuliwe

WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Dk. Ashatu Kijaji, amezindua Bodi ya tano ya ushauri ya Wizara kwa Wakala wa Huduma…

Soma Zaidi »

Waziri Mkuu azindua miradi ya bil 114/- ya utalii

WAZIRI Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba amezindua na kukabidhi miundombinu 21 ya utalii yenye thamani ya Sh billioni 114.62. Amesema ujenzi…

Soma Zaidi »

Dk Mwigulu kuzindua miradi ya utalii kesho

PWANI: Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba anatarajiwa kuzindua miradi mikubwa ya kuendeleza utalii Kusini kesho.   Katibu Mkuu Wizara ya…

Soma Zaidi »

Msikiti wenye miaka 700 Kilwa utaleta fedha utalii

DODOMA; SPIKA wa Bunge, Mussa Zungu amesema kuna haja serikali ikaweka nguvu kwenye maeneo ya utalii wa kihistoria ya kidini…

Soma Zaidi »

Tanzania iweke maeneo ya kihistoria ya Papa Leo XIV

DODOMA; Spika wa Bunge. Mussa Zungu amesema kuna haja serikali ikaweka maeneo ya kihistoria Tanzania, ambayo Kiongozi wa Kanisa Katoliki…

Soma Zaidi »

MV New Mwanza Kufungua fursa utalii Afrika Mashariki

MWANZA: MKURUGENZI wa Bodi ya Utalii nchini (TTB), Ephraim Mafuru, amesema Tanzania inaendelea kuweka historia katika uwekezaji wa miundombinu ya…

Soma Zaidi »
Back to top button