Mtaalamu atoa somo ufugaji wenye tija Nanenane

MOROGORO; Daktari wa Mifugo wa Wilaya ya Pangani, Dk David Lyimo, akitoa elimu kwa wageni mbalimbali kuhusu ufugaji bora wa ng’ombe wenye tija wakati wa maonesho ya Nanenane Kanda ya Mashariki yanayofanyika mkoani Morogoro, leo Agosti 7, 2026.




