Zamu ya Segerea kampeni msaada wa kisheria

DAR ES SALAAM: Timu ya Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia ikiendelea kutoa huduma kwa wananchi wa Kata ya Segerea Ilala ,Dar es Salaam.

Ofisa Ardhi Mkuu wa Jiji la Dar es Salaam, Godfrey Mlotwa akimhudumia mwananchi ,Anna Mwanjoka katika Kata ya Segerea ikiwa ni mwendelezo wa kampeni hiyo mkoani humo.

Zamu ya Pugu kampeni msaada wa kisheria leo

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button