Dk Samia aongoza kikao Maalumu Kamati Kuu CCM

DAR ES SALAAM;Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Tanzania, Dk Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao Maalumu cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kilichofanyika jijini Dar Es Salaam leo Agosti 26, 2026.




