‘Wakitoa ndege kicheko, wanahoji mkataba wa jezi ooh tutafungiwa’

DAR ES SALAAM; Wadau wa michezo nchini wametakiwa kusubiri ripoti ya Kamati ya Uchunguzi itakayoundwa na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, kuhusu mkataba wa jezi za timu za Taifa, badala ya kuanza kuzua taharuki kwamba hatua hiyo ni kuingilia shughuli za uendeshaji mpira wa miguu.
Akizungumza na DailyNews Digital, kiongozi wa zamani wa mpira wa miguu, Ismail Abdallah, amesema anaamini serikali ina nia njema na jambo hilo, kama inavyokuwa na nia njema wakati wa matukio mengine yanayohusu timu za Taifa.
“Serikali ikitoa ndege kusafirisha wachezaji wa Taifa Stars, Simba au Yanga tunafurahia na kuunga mkono, leo serikali inataka iunde kamati kuchunguza kuhusu mkataba wa jezi baina ya TFF (Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania na mzabuni zimeanza kelele kwamba tutafungiwa.
“Yaani leo ndiyo zinaibuka habari kwamba kuna kifungu cha katiba ya Fifa kinataka wanachama kusimamia mambo yao kwa uhuru bila kuingiliwa na maofisa wa serikali?
“Tutulie waziri amesema ataunda kamati, hiyo ndiyo itakuja na majibu, tuache kuwa na hofu na kuanza kutishia kwamba tutafungiwa, hakuna kitu hicho cha kufungiwa,” amesema mdau huyo.
Jana wizara ilitoa taarifa ikieleza kuwa Waziri Makonda anakusudia kuunda kamati ya kuchunguza mkataba wa mzabuni wa jezi za timu za taifa ili kubaini manufaa ya mkataba huo.
Taarifa hiyo pia ilieleza kuwa Waziri Makonda hatambui matangazo ya jezi mpya za timu za taifa kutokana na mchakato wa kuzibadilisha kutohusisha wizara, licha ya maelekezo aliyoyatoa Februari 2026 ya kuboreshwa jezi za timu za taifa, ili ziakisi manufaa mapana kwa nchi, ikizingatiwa serikali inatumia fedha nyingi katika maandalizi ya timu zinazoshiriki mashindano ya kimataifa.




Hey very nice website!! Man .. Excellent .. Superb ..
I will bookmark your blog and take the feeds additionally? I am
glad to seek out so many useful information right here within the post, we need develop extra strategies on this regard, thanks for sharing.
. . . . .
Cash earning job to earns more than $700 per day. getting paid weekly more than $3500 or more simply doing easy work online. no special skills required for this job and regular earning from this are just awesome. all you need is 2 hrs a day for this job and earning are awesome. every person can get this by follow details here…
THIS→→→→ http://Www.Payathome1.com
Cash earning job to earns more than $700 per day. getting paid weekly more than $3500 or more simply doing easy work online. no special skills required for this job and regular egarning from this are just awesome. all you need is 2 hrs a day for this job and earning are awesome. every person can get this by follow details here…
THIS→→→→ http://Www.Payathome1.com
Pretty nice post. I just stumbled upon your weblog
and wished to say that I’ve really enjoyed surfing around your blog posts.
After all I will be subscribing to your rss feed and I hope you write again soon!
I get paid more than $120 to $130 per hour for working online. I heard about this job 3 months ago and after joining this i have earned easily $15k from this without having online working skills.
This is what I do….. https://www.work27.info
1xbet казино, 1xbet официальный сайт выпускает выбор слотов, где любитель найдет что-то захватывающее для себя.
Look into my website; https://1xbet-myj63.sbs/
you’re in reality a just right webmaster. The site loading speed is incredible.
It seems that you are doing any unique trick.
Also, The contents are masterpiece. you’ve performed a
great job on this subject!
Hello, I think your blog might be having browser compatibility issues.
When I look at your blog site in Opera, it looks fine but when opening
in Internet Explorer, it has some overlapping. I just wanted to give you a quick heads up!
Other then that, terrific blog!
I do believe all of the ideas you’ve presented in your post.
They are really convincing and will certainly work. Nonetheless,
the posts are too brief for beginners. May you please extend them a bit from next time?
Thank you for the post.