Zena Chande

Africa

Marais saba kuja mkutano wa kahawa Afrika kesho

MARAIS saba wamethibitisha kushiriki mkutano wa nchi 25 zinazolima kahawa Afrika (G-25) unaotarajiwa kufanyika kesho na keshokutwa kwenye Kituo cha…

Soma Zaidi »
Featured

Tuwe makini, tuelewe taratibu kabla ya kukopa

WATAALAMU wa fedha wanasema kwamba mikopo ni moja ya nyenzo ya kusaidia kupiga hatua katika nyanja za kiuchumi iwe kwa…

Soma Zaidi »
Featured

Mpango aiita Korea fursa za uwekezaji

MAKAMU wa Rais, Dk Philip Mpango amesema Tanzania inathamini na imedhamiria kuimarisha ushirikiano na Jamhuri ya Korea ulioanza tangu mwaka…

Soma Zaidi »
Featured

Jifunze Kiswahili

We proceed with Swahili word which start with letter H The words you mentioned, “Halafu,” “Hamsini,” and “Hapa,” are all…

Soma Zaidi »
Featured

CCM yaonya njama wabunge, madiwani

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeagiza wabunge na madiwani walioko madarakani waache kupuuza majukumu yao kwa kisingizio cha maandalizi ya uchaguzi.…

Soma Zaidi »
Kanda

Sita jela miaka 3 kuchoma moto basi la Saibaba

MAHAKAMA ya wilaya ya Korogwe imewahukumu kwenda jela miaka mitatu au kulipa faini ya sh milioni moja kila mmoja watu…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Waogeleaji Klabu ya HPT wang’ara Dubai

KLABU ya kuogelea ya HPT imeshika nafasi ya 36 ikijizolea pointi 360 baada ya wachezaji wake kujitahidi kufanya vizuri katika…

Soma Zaidi »
Featured

Kigoda cha JICA kuimarisha kilimo cha umwagiliaji nchini

KIGODA cha Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Japan (JICA) kimezinduliwa katika Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA), ambacho…

Soma Zaidi »
Featured

Wananchi Ugweno wapewa elimu ya fedha

Wajasiriamali pamoja na wakazi wa kata ya Ugweno, Wilaya ya Mwanga, mkoani Kilimanjaro wameshiriki mafunzo ya elimu ya fedha yaliyotolewa…

Soma Zaidi »
Featured

Umuhimu wa vijana kujengewa uwezo katika siasa

“VIJANA wasiseme siasa haiwahusu, wajue kila mmoja siasa inamuhusu hata kama hujihusishi nayo.” Ndivyo anavyosema Ofisa Mradi na Mtafiti wa…

Soma Zaidi »
Back to top button