Dodoma

Tanzania yaweka historia idadi ya redio, luninga

SEKTA ya utangazaji nchini Tanzania imeendelea kukua kwa ongezeko la vituo vya utangazaji wa televisheni na redio, redio na televisheni…

Soma Zaidi »

Waziri Mkuu awasilisha ripoti ya moto Kilimanjaro, atoa mkakati

Waziri MKuu amesema kuwa zoezi la kuzima moto uliozuka katika hifadhi ya Mlima Kilimajaro limefanikiwa kwa kiasi kikubwa huku akishukuru…

Soma Zaidi »

Wavamizi maeneo ya hifadhi waonywa Geita

SERIKALI wilayani Geita mkoani hapa, imetoa onyo kali kwa wananchi wanaoendelea kukiuka kanuni na sheria za mazingira kwa kuendesha shughuli…

Soma Zaidi »

Wanawake ni asilimia 51 Tanzania

WAKATI idadi ya Watanzania wote ni 61,741,120, idadi ya wanawake ni 31,687,990 sawa na asilimia 51 ya watu wote na…

Soma Zaidi »

Idadi ya Watanzania ni 61,741,120

Idadi ya Watanzania ni 61,741,120. Hayo yamebainishwa na Rais Samia Suluhu Hassan, muda mfupi uliopita wakati akitangaza matokeo ya  sensa…

Soma Zaidi »

‘Wataalamu vyuo vikuu wamehusishwa matokeo ya sensa’

MTAKWIMU  Mkuu wa Serikali Dk Albina Chuwa, amesema matokeo ya sensa yanayotangazwa leo Oktoba 31,2022 yamefanyiwa kazi kitaalamu kwa asilimia…

Soma Zaidi »

Dodoma kumenoga matokeo ya sensa

RAIS Samia Suluhu Hassan tayari amewasili Uwanja wa Jamhuri, Dodoma kutangaza matokeo ya sensa ya watu na makazi ya mwaka…

Soma Zaidi »

Walioondolewa kwa vyeti feki kulipwa michango yao

RAIS Samia Suluhu Hassan ameridhia  watumishi wa umma waliondolewa kazini kwa sababu ya vyeti feki, walipwe michango yao waliyochangia kwenye…

Soma Zaidi »

Walimu wengi watoro

TUME ya Utumishi wa Walimu (TSC) imetakiwa kuwachukulia hatua walimu wanaokiuka maadili, vitendo vya utovu wa nidhamu na kudhibiti utoro.…

Soma Zaidi »

Matokeo mtihani wa uwakili kuchunguzwa

SERIKALI imeunda kamati ya watu saba itakayochunguza sakata la matokeo ya mtihani wa uwakili katika Taasisi ya Mafunzo ya Uanasheria…

Soma Zaidi »
Back to top button