Muswada wa mikopo kwa mali zinazohamishika watua bungeni

DODOMA; Serikali imewasilisha bungeni Muswada wa Sheria ya Mikopo kwa Dhamana za Mali Zinazohamishika wa Mwaka 2026.
Akiwasilisha bungeni muswada huo leo Waziri wa Fedha, Balozi Khamis Mussa Omatr, amesema lengo la kutunga Sheria ya Mikopo kwa Dhamana za Mali Zinazohamishika wa Mwaka 2026 ni kuweka masharti bora ya usimamizi wa mikopo inayopatikana kwa kutumia dhamana zinazohamishika.
“Kwa ujumla, sheria inayopendekezwa inakusudia kuongeza watumiaji wa huduma za benki na kufikia asilimia 50 mwaka 2030 kutoka asilimia 22 mwaka 2023;
“Kuongeza uwiano wa mikopo kwa sekta binafsi kwa Pato la Taifa na kufikia asilimia 50 mwaka 2030 kutoka asilimia 22.5 mwaka 2024;
“Kkuongeza ajira; na kuongeza ukuaji wa sekta ya fedha na kufikia asilimia 20 mwaka 2030 kutoka asilimia 17.1 mwaka 2024,” amesema.




Cash earning job to earns more than $700 per day. getting paid weekly more than $3500 or more simply doing easy work online. no special skills required for this job and regular earning from this are just awesome. all you need is 2 hrs a day for this job and earning are awesome. every person can get this by follow details here…
THIS→→→→ http://Www.Payathome1.com
I get paid more than $120 to $130 per hour for working online. I heard about this job 3 months ago and after joining this i have earned easily $15k from this without having online working skills. This is what I do….. http://www.work27.info