Rais Samia ahesabiwa Dodoma

Rais Samia Suluhu Hassan amewaongoza watanzania kuhesabiwa katika Sensa ya Watu na Makazi huku akiwatoa jofu watanzania kuwa maswali sio magumu.

Akizungumza mara baada ya kuhesabiwa na karani wa sensa Phausta Ntigiti amesema watanzania hawapaswi kuwa na hofu kwani maswali yote yanajibika.

” Pamoja na kuwa maswali ni mengi kidogo. niwatoe hofu kuwa si magumu na yanajibika, ombi langu kwa watanzania ni wajiandae na kuweka myaraka zao karibu kama vile namba za vitambulisho vya taifa, kitambulisho cha mkaazi kwa kule Zanzibar ili karani asichukue muda mrefu.”

Habari Zifananazo

Back to top button