Sendiga awaonya wanaochochea migogoro

MOROGORO: Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Queen Sendiga, amesema atachukua hatua dhidi ya baadhi ya viongozi wa vijiji wanaodaiwa kuwa vyanzo vya kuchochea migogoro baina ya wakulima na wafugaji katika maeneo yao.
Sendiga amesema hayo Septemba 17, 2026, wakati wa kikao chake cha kwanza na waandishi wa habari tangu alipokabidhiwa rasmi majukumu ya uongozi wa mkoa huo, kilichofanyika katika ukumbi wa mikutano uliopo katika jengo la Ofisi ya Mkuu wa Mkoa.

Amesema hatua hiyo ni sehemu ya juhudi za Serikali za kutatua migogoro baina ya wakulima na wafugaji, ikiwa ni pamoja na kuanza kwa zoezi la utambuzi wa mifugo na wafugaji kwa lengo la kuimarisha amani na utulivu kwa wananchi.
“Hakuna ng’ombe wanaingia kijijini kama hakuna mtu anayefahamu. Tunajua kuna baadhi ya vijiji na baadhi ya viongozi wa vijiji ambao wanafahamu leo mfugaji gani anaingiza mifugo,” amesema Sendiga.

Amesema viongozi hao wanafahamika na kwamba Serikali kupitia wakuu wa wilaya pamoja na vyombo vya dola inawafahamu, hivyo amewataka kuacha vitendo vinavyoweza kuchochea migogoro katika maeneo yao.
“Tunawajua, na waheshimiwa wakuu wa wilaya wanawajua na vyombo vinawajua. Sasa wakae mkao wa kula, huwezi ukapata wewe raha, usumbue nchi, haiwezekani. Tunakwenda kusumbuana huko huko,” ameonya Sendiga.




Habari hii inagusa jambo muhimu kuhusu jinsi taarifa zinavyosambaa haraka kuliko ukweli. Watu wengi hupata habari kwa video fupi, kwa hiyo ubora wa picha na ufafanuzi wa kichwa cha habari ndiyo unaamua kile wanachokumbuka. Hivi karibuni nimekuwa nikitumia https://kling3ai.co/ kutengeneza video fupi za kueleza mada ngumu kwa namna rahisi, kwa sababu video kama hizo husaidia wasomaji kuelewa hoja kabla ya kufikia hitimisho. Asante kwa uandishi wenye ushahidi.
❤️ Wasichana warembo na wenye hamu ya kimapenzi kutoka kote duniani wanakungoja; jiunge hapa ………………………………………………………..…………> https://da.gd/girls66
Cash earning job to earns more than $700 per day. getting paid weekly more than $3500 or more simply doing easy work online. no special skills required for this job and regular earning from this are just awesome. all you need is 2 hrs a day for this job and earning are awesome. every person can get this by follow details here…
THIS→→→→ http://Www.Payathome1.com
Nice work on this one. I’d been looking for this kind of breakdown; adding a related reference I use here: https://plaza.rakuten.co.jp/naruto88hub/diary/202609080011/