Uwekezajia

Akaribisha kampuni za bima za India kuwekeza

BALOZI wa India nchini , Binaya Pradhan amezitaka kampuni zinazotoa huduma za bima kuwekeza Tanzania, kwa kuwa kuna fursa nyingi…

Soma Zaidi »

Machinjio ya Sh bilioni 29 yazinduliwa Mvomero

MACHINJIO ya kisasa ya Nguru Hills Ranch Ltd imezinduliwa rasmi mjini Mvomero ambapo inauwezo wa kuchinja ng’ombe 100 na mbuzi…

Soma Zaidi »

Operesheni funga maduka yazua gumzo Bukoba, Machali acharuka

MKUU wa Wilaya ya Bukoba, Mosses Machali ameelekeza maduka yote ya wafanyabiashara ambao hawana leseni za biashara yafungwe hadi hapo…

Soma Zaidi »

NFRA yasambaza mahindi kwenye halmashauri 46

WAKALA ya Taifa ya Hifadhi ya Chakula (NFRA), umepeleka mahindi kwenye halmashauri 46 zenye uhitaji na unaendelea kupokea maombi ya…

Soma Zaidi »

TCRA yaeleza namna Serikali itakavyoingiza mapato kupitia mnada wa masafa

KAMATI ya kudumu ya Miundombinu ya Bunge imefanya ziara katika Ofisi za Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) na kupata maelezo…

Soma Zaidi »

UNCDF yaiteua NBC kusimamia hati fungani za Tanga-UWASA

Shirika la Umoja wa Mataifa la Mitaji na Uwekezaji (UN Capital Development Fund -UNCDF) limetangaza rasmi uteuzi wa Benki ya…

Soma Zaidi »

Mradi wa Maji Ziwa Victoria wanukia

MAMLAKA ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Mjini Maswa (MAUWASA) inategemea kuanza ujenzi wa mradi wa maji utakao unganisha…

Soma Zaidi »

Kiruswa: biashara ya makaa ya mawe ni utajiri

Naibu Waziri wa Madini, Dk. Steven Kiruswa amebainisha kuwa, biashara ya Makaa ya Mawe inatarajia kuleta tija kwa Watanzania kutokana…

Soma Zaidi »

Kauli ya Nape malalamiko ya kupunjwa ‘bando’

Waziri wa Mawasiliano Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape amesema wizara yake imeiagiza Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA) kuwaita watoa…

Soma Zaidi »

Bil 13/- zatengwa kuboresha Tazara

SERIKALI imesema katika mwaka wa fedha 2022/23, imetenga Sh bilioni 13.1 kwa ajili ya kuboresha miundombinu ya reli ya Mamlaka…

Soma Zaidi »
Back to top button