Bunge

Serikali yatumia Sh bil 17 waathirika mabomu Mbagala

SERIKALI imelipa kiasi cha Shilingi bilioni 17.46 kwa waathirika wa mlipuko mabomu yaliyotokea katika Kambi ya JWTZ Mbagala, Dar es…

Soma Zaidi »

Wabunge kutembelea miundombinu gesi asilia

KAMATI za kudumu za Bunge za Nishati na Madini, pamoja na ya Bajeti zimewasili mkoani Mtwara leo kwa ajili ya…

Soma Zaidi »

Serikali: Ujenzi bomba la mafuta umezingatia sheria zote

SERIKALI imesema inasimamia kikamilifu sekta ya nishati, ikiwemo kuendelea kutekeleza mradi wa ujenzi wa bomba la mafuta ghafi la Afrika…

Soma Zaidi »

Wakulima 956,920 wasajiliwa mbolea ya ruzuku

WAKULIMA 956,920 wamesajiliwa kwa ajili ya kupata mbolea ya ruzuku, ambapo jumla ya tani 60, 882 za mbolea zimenunuliwa na…

Soma Zaidi »

Majaliwa: Tuna utoshelevu wa chakula asilimia 115

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa, amesema nchi ina kiwango cha utoshelevu wa chakula kwa asilimia 115. Ametoa kauli hiyo leo Septemba…

Soma Zaidi »

Bunge lapitisha muswada usimamizi rasilimali za maji

BUNGE leo limepitisha Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Usimamizi wa Rasilimali za Maji ya mwaka 2022. Akizungumza wakati akifanya…

Soma Zaidi »

Suala la Panya Road latua bungeni

#HABARI: Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson, ameiagiza serikali kuchukua hatua za haraka kushughulikia vitendo vya kihalifu vinavyofanywa na vikundi…

Soma Zaidi »

Sh bilioni 4 kukamilisha skimu ya umwagiliaji Chita JKT

SERIKALI imetenga Sh bilioni 4 katika bajeti ya maendeleo mwaka 2022/23 kwa ajili ya kukamilisha awamu ya kwanza ya utekelezaji…

Soma Zaidi »

Tamima Haji aapishwa bungeni

MBUNGE wa Viti Maalumu, Tamima Haji Abass leo amekula kiapo cha uaminifu bungeni. Aliapishwa asubuhi na Spika wa Bunge, Dk.…

Soma Zaidi »
Back to top button