Dodoma

Tulia amfagilia Rais Samia kwa maono kwenye kilimo

SPIKA wa Bunge, Dk Tulia Ackson, amesema Tanzania itailisha dunia na itatambua kuwa yanatoka Tanzania. Pia amempongeza Rais Samia Suluhu…

Soma Zaidi »

Rais Samia ataka matokeo kilimo biashara

RAIS Samia Suluhu Hassan amesema serikali itatimiza ahadi yake kuwezesha vijana kulima kibiashara kupitia programu ya mashamba makubwa na hataki…

Soma Zaidi »

Ugonjwa usiojulikana waua watano Kagera

WATU watano wamefariki Dunia na wengine wawili wakiwa hospitalini baada ya kuibuka kwa ugonjwa ambao bado haujajulikana huko Bukoba vijijini…

Soma Zaidi »

TSC yapongezwa mfumo kupokea malalamiko

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais (TAMISEMI), Angellah Kaiuruki amezindua Mfumo wa Kielektroniki wa Kupokea Malalamiko ya walimu kwa muda…

Soma Zaidi »

Samia apongeza waandishi ujenzi wa nchi

RAIS Samia Suluhu Hassan amewapongeza waandishi wa habari kwa kazi nzuri ya kujenga nchi. Alitoa pongezi hizo jana alipozungumza nao…

Soma Zaidi »

Chanzo ajali iliyoua 12 Dodoma chatajwa

WATU 12 wamefariki dunia na wengine 63 wamejeruhiwa katika ajali ya gari iliyotokea usiku wa kuamkia leo Alhamisi Februari 9,…

Soma Zaidi »

NSSF yatumia bil 2.6/- kulipa wa vyeti feki

MFUKO wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) imetumia Sh bilioni 2.6 kuwalipa watumishi 183 waliofutiwa ajira kwa kukutwa na…

Soma Zaidi »

Serikali yakamilisha mkopo wa magari 12 ya zimamoto

SERIKALI imesema imekamilisha hatua zote za mkopo wa Euro milioni 4.9 kutoka nchini Austria kwa ajili ya ununuzi wa magari…

Soma Zaidi »

Serikali yatoa Sh milioni 540 ujenzi wa majosho

SERIKALI imetoa fedha Sh milioni 540 kwa ajili ya ujenzi wa majosho mbalimbali nchini. Hayo yamesemwa leo na Naibu Waziri…

Soma Zaidi »

Serikali kushughulika na waharibifu wa mazingira

SERIKALI imesema itahakikisha inawachukulia hatua waharibifu wa mazingira wanaofanya shughuli za uchomaji wa misitu, ukataji miti, uharibifu wa maeneo ya…

Soma Zaidi »
Back to top button