Dodoma

Samia aongoza kikao  CCM

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM),  Rais Samia Suluhu Hassan, leo ameongoza kikao cha Kamati Kuu Maalumu ya Halmashauri Kuu…

Soma Zaidi »

Waziri Aweso atoa maagizo changamoto ya maji Kibakwe

SERIKALI imewataka wahandisi wa maji kutekeleza majukumu yao ipasavyo, ili kuondoa tatizo la upatikanaji maji nchini na kuleta hali ya…

Soma Zaidi »

TRA yataka somo la kodi mitaala ya elimu

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA), wamekutana na kamati ya Kitaifa ya uboreshaji wa Mitaala  inayoongozwa na Prof.Makenya Maboko jijini Dodoma…

Soma Zaidi »

Mbatia avuliwa uanachama NCCR Mageuzi

MKUTANO Mkuu wa Chama cha NCCR Mageuzi, umemvua uongozi na kumtimua uanachama, aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho Taifa, James Mbatia,…

Soma Zaidi »

Serikali: Ujenzi bomba la mafuta umezingatia sheria zote

SERIKALI imesema inasimamia kikamilifu sekta ya nishati, ikiwemo kuendelea kutekeleza mradi wa ujenzi wa bomba la mafuta ghafi la Afrika…

Soma Zaidi »

Wakulima 956,920 wasajiliwa mbolea ya ruzuku

WAKULIMA 956,920 wamesajiliwa kwa ajili ya kupata mbolea ya ruzuku, ambapo jumla ya tani 60, 882 za mbolea zimenunuliwa na…

Soma Zaidi »

Majaliwa: Tuna utoshelevu wa chakula asilimia 115

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa, amesema nchi ina kiwango cha utoshelevu wa chakula kwa asilimia 115. Ametoa kauli hiyo leo Septemba…

Soma Zaidi »

Watanzania 33,000 hufariki kwa moshi wa kupikia

WASTANI wa Watanzania  33,000 hufariki kila mwaka, kutokana na moshi wa kupikia. Waziri wa Nishati January Makamba alisema hayo jana…

Soma Zaidi »

Wahandisi watakiwa kuchangamkia fursa za miradi

SERIKALI imeahidi kuendeleza, kuibua, kutambua, kukuza na kuendeleza ubunifu unaofanywa na wahandisi wazawa kwa maendeleo endelevu ya Taifa. Waziri wa…

Soma Zaidi »

TARURA: Ujenzi kwa teknolojia ya mawe huokoa gharama

WAKALA wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA), imesema ujenzi wa barabara na madaraja kwa kutumia teknolojia ya mawe na…

Soma Zaidi »
Back to top button