Michezo na Burudani

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Uwanja wa Bashungwa waanza kujengwa Karagwe

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Innocent Bashungwa, amewahakikishia wananchi wa Wilaya…

Soma Zaidi »

Wema: Mungu ananitendea miujiza 

MSANII wa filamu, Wema Sepetu, amesema anamshukuru Mungu kwa kumtendea muujiza, kwani mambo yake hivi sasa yanaenda vizuri. “Nafurahi mno…

Soma Zaidi »

Yanga, GSM wasaini mkataba wa Sh Bil. 11

KLABU ya Yanga na Kampuni ya GSM wamesaini mikataba miwili yenye thamani ya jumla ya Sh Bil 10.9 Akizungumza wakati…

Soma Zaidi »

DC Ilala apongeza ujenzi Uwanja wa Kikapu

MKUU wa Wilaya ya Ilala, Ng’wilabuza Ndwata, amepongeza wadau waliohusika na ujenzi wa uwanja wa kimataifa wa mpira wa kikapu…

Soma Zaidi »

Geita kumkosa Mpole Sudan

TIMU ya soka ya Geita Gold, imeondoka jana kueleka Sudan kwa ajili ya mchezo wake wa raundi ya kwanza ya…

Soma Zaidi »

Ngumi Temeke kumpa tuzo Rais Samia

CHAMA cha ngumi za ridhaa wilaya ya Temeke kwa kushirikiana na kampuni ya Gogopowa Sports & Entainment, wameaandaa tuzo maalumu…

Soma Zaidi »

Simba, Yanga kazi ipo kimataifa

TIMU za Yanga na Simba leo zinatarajiwa kushuka kwenye viwanja tofauti katika mechi za hatua ya awali za michuano ya…

Soma Zaidi »

Twiga yavuliwa ubingwa Cosafa

TIMU ya soka ya Taifa ya Wanawake, ‘Twiga Stars’ imevuliwa ubingwa mashindano ya Cosafa baada ya kukubali kichapo cha mabao…

Soma Zaidi »

Zuchu: Sichoti fedha za Diamond

MSANII wa Bongo Fleva nchini, Zuhura Othuman ‘Zuchu’ amesema matumizi mbalimbali anayofanya anatumia fedha zake na wala sio fedha za…

Soma Zaidi »

Kampeni Ngoma Juu ya Ngoma yazinduliwa

Kampuni ya Audiomack, imezindua kampeni inayojulikana kama Ngoma Juu Ya Ngoma, inayolenga kukuza ubunifu na kuuza muziki wa kitanzania na…

Soma Zaidi »
Back to top button