Dodoma

Mbunge ahoji urasimishaji vijana wa ujuzi nje ya mfumo

SERIKALI imeweka mkakati kupitia Mpango wa Taifa wa Maendeleo wa miaka mitano wa kurasimisha ujuzi uliopatikana nje ya mfumo rasmi…

Soma Zaidi »

Bunge kuchagua wabunge A. Mashariki leo

BUNGE la Tanzania Alhamis  linatarajiwa kuchagua wabunge tisa wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA). Katibu wa Bunge, Nenelwa Mwihambi alisema…

Soma Zaidi »

Zungu ataka udhibiti mapato bandari Dar

NAIBU Spika wa Bunge, Mussa Azan Zungu ametaka mifumo ya makusanyo katika Bandari ya Dar es Salaam iunganishwe ili kudhibiti…

Soma Zaidi »

Sababu zaelezwa watoto wachanga kugeuka njano

TAFITI zimeonesha kuwa tatizo la manjano likitokea ndani ya saa 24 baada ya kuzaliwa mtoto, ni suala la kiafya na…

Soma Zaidi »

Bunge laridhia Itifaki ya Mahakama ya EAC

BUNGE limeridhia Itifaki ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) ya kuongeza Mamlaka ya Mahakama ya jumuiya hiyo kwa lengo la…

Soma Zaidi »

Serikali yafafanua malipo kwa mstaafu aliyefariki

SERIKALI imesema malipo ya mafao kwa mstaafu aliyefariki dunia huzingatia kanuni zilizopo na ikitokea amefariki mfuko hulipa mafao ya mkupuo,…

Soma Zaidi »

Bunge laridhia itifaki kudhibiti vitendo vya kigaidi

BUNGE limeridhia Itifaki ya Mkataba wa Umoja wa Nchi Huru za Afrika wa Kuzuia na Kupambana na Ugaidi ya Mwaka…

Soma Zaidi »

‘Msisitizo diplomasia ya uchumi, upatikanaji masoko’

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa, amewataka mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania katika mataifa mbalimbali kuweka msisitizo katika utekelezaji wa diplomasia ya uchumi na…

Soma Zaidi »

Masauni: Nchi ipo salama, operesheni inaendelea

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amesema nchi iko salama huku akiwasihi wananchi kuendelea na shughuli…

Soma Zaidi »

Ummy amshukuru Samia bima ya afya kwa wote

WIZARA ya Afya imemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuridhia pendekezo la kutunga Sheria ya Bima ya Afya kwa Wote.…

Soma Zaidi »
Back to top button