Kanda

Aapa kuwaweka pabaya wanaowapa mimba wanafunzi

MKUU wa Mkoa wa Rukwa, Queen Sendiga ameapa kuwa walimu ‘wakware’ na wote wanaodaiwa kumaliza nje ya mahakamani mashauri ya…

Soma Zaidi »

Mtanzania adakwa na Dawa za Kulevya Afrika Kusini

MAMLAKA ya kudhibiti Dawa za Kulevya nchini Afrika Kusini imemkamata Ahmadi Mbwana Chonde (50) ambaye ni raia wa Tanzania akiwa…

Soma Zaidi »

‘Bwawa la Nyerere limeonesha tunaweza kufanya makubwa’

‘RAIS Samia Suluhu Hassan, amesema Mradi wa Kufua Umeme wa Julius Nyerere (JNHPP) uliopo Rufiji mkoani Pwani, umeonesha kuwa Watanzania…

Soma Zaidi »

Mambo yamenoga Bwawa la Nyerere

Rais wa Tanzania, Dk Samia Suluhu Hassan leo anatarajiwa kuzindua tukio la kujaza maji katika Bwawa la Julius Nyerere (JNHPP)…

Soma Zaidi »

‘Bwawa la Nyerere ni utekelezaji Ilani ya CCM’

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Abdulrahman Kinana amesema Mradi wa Kufua Umeme wa Julius Nyerere (JNHPP)…

Soma Zaidi »

‘Askari 6 uhifadhi wameuawa mwaka 2022’

JESHI la Uhifadhi la Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS), katika kipindi cha kuanzia Januari hadi Desemba, 2022, limepoteza…

Soma Zaidi »

TPA yaweka wazi tarehe ya kuanza usimamizi wa ‘TICTS’

MAMLAKA ya Usimamizi Bandari nchini (TPA) imesema itachukua rasmi usimamizi wa eneo lilokuwa likiendeshwa na Kampuni Binafsi ya Kimataifa ya…

Soma Zaidi »

Adakwa akidai ni mshauri wa Rais Samia mambo ya kijeshi

POLISI Mkoa wa Tanga imefanikiwa kumkamata mkazi wa Dar es Salaam, Zainabu Kagoso (50), akidaiwa kujitambulisha kuwa ni mshauri wa…

Soma Zaidi »

Zaidi ya magari 2000 hupakuliwa bandari ya Dar kila siku

MAMLAKA ya Bandari nchini (TPA) imesema inapokea zaidi ya magari 2,000 kila siku kupitia Bandari ya Dar es Salaam ambapo…

Soma Zaidi »

Mbungea ataka Watanzania kutumia fursa EAC

MBUNGE wa Tanzania, James Millya amewataka Watanzania kuamka na kutumia fursa mbalimbali zilizopo kwenye Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC). Kutokana…

Soma Zaidi »
Back to top button