Kanda

NIDA yakabidhi vitambulisho 16,400 Kitaya, Nanyamba

MAMLAKA ya Vitambulisho vya Taifa nchini (NIDA), imetoa vitambulisho 16,400 kwa wakazi wa Kata ya Kitaya, Kiromba, Namtumbuka pamoja na…

Soma Zaidi »

Waliogoma kuhama Ngorongoro wajuta

UKAME na njaa inayoendelea kuutikisa Mkoa wa Arusha na baadhi ya maeneo nchini umewafanya wananchi waliokataa kuhama kwa hiyari kutoka…

Soma Zaidi »

Vyuo vyatakiwa kuweka mkazo mafunzo kwa vitendo

WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu Nchemba, amesema mafunzo kwa vitendo bado hayajapewa kipaumbele cha kutosha katika vyuo mbalimbali…

Soma Zaidi »

Uhaba wa vyoo unavyochangia matatizo ya figo kwa watoto

REHEMA Emanuel alikuwa ni binti mwenye afya njema akisoma katika shule ya msingi Gidbiyo iliyo kilomita sita kutoka Babati Mjini…

Soma Zaidi »

Majaliwa ataka uchunguzi miradi ya afya Rukwa

WAZIRI MKUU Kassim
Majaliwa amesema hajaridhishwa na maendeleo ya ujenzi wa miradi ya Hospitali ya Manispaa ya Sumbawanga na Kituo cha…

Soma Zaidi »

Sh Bil. 8 kutekeleza miradi ya maji Mtwara

SERIKALI imetoa Shilingi Bilioni 8 kwa ajili ya kutekeleza miradi ya Maji, wilayani Mtwara. – Miradi hiyo inatekelezwa na Mamlaka…

Soma Zaidi »

‘Hakikisheni mbolea inawafikia wakulima’

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa, amewataka Wakuu wa Mikoa kote nchini wahakikishe kunakuwa na idadi ya kutosha ya mawakala wa pembejeo…

Soma Zaidi »

 ‘Utafiti wa mbegu uzingatie hali ya hewa’

WATAFITI wa masuala ya kilimo nchini, wametakiwa kutumia matokeo ya utafiti wao wanaofanya  katika kuboresha mbegu bora za mazao zinazoendana…

Soma Zaidi »

Jaji Mahakama Kuu atupa pingamizi kesi ya Sabaya

JAJI wa Mahakama Kuu Kanda ya Arusha, Salma Maghimbi, leo Desemba 14, 2022,  ametupilia mbali pingamizi lililowekwa na mawakili wa…

Soma Zaidi »

Wanafunzi 1,073,941 kujiunga kidato cha kwanza

WANAFUNZI 1,073,941 waliofaulu mtihani wa kumaliza elimu ya msingi mwaka 2022, wamechaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza mwakani. Hayo yamebainishwa…

Soma Zaidi »
Back to top button