Kanda

Bahi yaongoza ujenzi wa madarasa Dodoma

MKUU wa Mkoa wa Dodoma Rosemary Senyamule amekabidhiwa vyumba 14 vya madarasa na ofisi 9 za walimu zilizokamilika kwa fedha…

Soma Zaidi »

Machinjio ya Sh bilioni 29 yazinduliwa Mvomero

MACHINJIO ya kisasa ya Nguru Hills Ranch Ltd imezinduliwa rasmi mjini Mvomero ambapo inauwezo wa kuchinja ng’ombe 100 na mbuzi…

Soma Zaidi »

Waziri Mkuu amsimamisha kazi Mkurugezi MUWASA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemuagiza kamanda wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa {TAKUKURU} mkoa wa Katavi awachunguze watumishi…

Soma Zaidi »

Waziri Mkuu atoa maelekezo hewa ya ukaa

WAZIRI Mkuu Kasim Majaliwa, ameitaka Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika, mkoani Katavi kupitia upya mikataba ya biashara ya hewa ukaa…

Soma Zaidi »

Serikali yakata rufaa hukumu kesi ya Sabaya

SERIKALI imekata rufaa dhidi ya hukumu iliyotolewa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha juu ya kesi ya Uhujumu uchumi iliyokuwa…

Soma Zaidi »

Wahofu ongezeko mbwa wenye vichaa

WAKAZI wa mamlaka ya mji mdogo wa Katoro wilayani Geita wameiomba serikali kusaidia kudhibiti mlipuko wa ugonjwa wa kichaa cha…

Soma Zaidi »

Watakiwa kuzingatia sheria utunzaji mazingira

KATIBU Tawala wa Wilaya ya Tanganyika, mkoani Katavi, Geofrey Mwashitete amewataka wananchi wa wilaya hiyo kuzingatia sheria za utunzaji wa…

Soma Zaidi »

Wasichana Geita, Kigoma wapatiwa baiskeli

SHIRIKA la Plan International, limejitolea baiskeli 500 kwa wanafunzi wa kike wanaoishi katika mazingira magumu, ili kuwaondolea adha ya usafiri…

Soma Zaidi »

Ajali ya Happy Nation yaua Hakimu Bukoba

 POLISI mkoani Kagera inamshikilia dereva wa Basi la Happy Nation, Shaaban Khatibu 38 mkazi wa Dare es Salaam akidaiwa kusababisha…

Soma Zaidi »

World Vision yafanya kweli ufugaji Mufindi

SHIRIKA la World Vision Tanzania, limetenga Sh Bilioni 1.4 kuwawezesha wananchi wa vijiji saba vya kata ya Maduma na Nyololo…

Soma Zaidi »
Back to top button