Kanda

Bodaboda auawa kikatili Butiama

MWANAUME anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 36, ambaye hakufahamika kwa haraka amekutwa amekufa katika eneo la Maji machafu, Kijiji…

Soma Zaidi »

Polisi yaua ‘majambazi’ watatu Kagera

JESHI la Polisi mkoani Kagera limesema limeua watu watatu wanaodhaniwa kuwa majambazi katika mpaka wa Wilaya ya Ngara na Biharamulo…

Soma Zaidi »

Mchina mbaroni kudanganya kuibiwa mil 60/-

POLISI Kanda Maalumu ya Dar es Salaam imemkamata mhasibu katika Kampuni ya Kichina ya Your Choice’, Deodatus Lubela kwa tuhuma…

Soma Zaidi »

Ewura yataka taarifa sahihi kwa walaji

MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), Modestus Lumato, amezitaka Mamlaka za Majisafi na…

Soma Zaidi »

Bariadi wajenga madarasa 14 kupokea Kidato cha Kwanza

HALMASHAURI ya Wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu, imekamilisha ujenzi wa Vyumba 14 vya Madarasa vyenye thamani ya Sh280 milioni, vitakavyoweza…

Soma Zaidi »

NEC yataka weledi usimamizi wa Uchaguzi

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imewataka wasimamizi wa uchaguzi, wasimamizi wasaidizi wa ngazi ya jimbo na kata, kuhakikisha wanaajiri…

Soma Zaidi »

Watano wafungiwa leseni za udereva Arusha

JESHI la Polosi mkoani Arusha limezifungia leseni tano za udereva kutokana na makosa mbalimbali ya usalama barabarani, Kamanda wa Polisi…

Soma Zaidi »

Aliyekuwa Kocha Simba adakwa na dawa za kulevya

MAMLAKA ya Kupambana na Dawa za Kulevya nchini (DCEA) imewakamata watuhumiwa 11 akiwemo aliyekuwa kocha wa makipa wa timu ya…

Soma Zaidi »

TRA yafuta vikosi kazi ukusanyaji mapato

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Uledi Mussa amesema hakuna tena vikosi kazi katika ukusanyaji…

Soma Zaidi »

Profesa Mkenda: Mabadiliko makubwa kwenye elimu yaja

WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda amesema mabadiliko makubwa kwenye elimu yanakuja. Alisema hayo juzi wakati wa…

Soma Zaidi »
Back to top button