Michezo na Burudani

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Shujaa Majaliwa ‘akunja’ milioni 5/- za wabunge

SPIKA wa Bunge Dk Tulia Ackson ametangaza kuwa wabunge wamechanga kiasi cha Shilingi 5,023,000 kwa lengo la kumpongeza kijana Majaliwa…

Soma Zaidi »

Waziri Mkuu amtaja Aziz Ki akizipongeza Simba, Yanga

 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa hoja ya kuahirisha Bunge leo jijini Dodoma huku akizipongeza timu za Simba na Yanga kwa…

Soma Zaidi »

Mo awapongeza Yanga

“Hongera sana mtani, umeifanya umeifaharisha Tanzania. Karibu kwenye michuano mikubwa.” Ameandika Rais wa heshima wa Simba SC, Mohammed Dewji ‘Mo’…

Soma Zaidi »

Liverpool kukutana na Real Madrid

LIVERPOOL itakuwa na kibarua kigumu kwa mara nyingine baada ya kupangwa na Real Madrid katika hatua ya 16 bora ya…

Soma Zaidi »

Southampton yamfukuza kocha wao Ralph Hasenhüttl

KLABU ya Southampton imemfukuza kocha wao, Ralph Hasenhüttl kutokana na mwenendo usioridhisha baada ya jana kukubali kipigo cha mabao 4…

Soma Zaidi »

Kila la heri Yanga

KIKOSI cha Yanga kimeondoka Dar es Salaam alasiri leo Novemba 4, 2022 kuelekea Tunis, Tunisia katika mchezo wao wa marudiano…

Soma Zaidi »

Mambo yanoga kuelekea Kombe la Dunia

IKIWA zimesalia wiki tatu kuelekea mashindano ya Kombe la Dunia nchini Qatar, Kampuni ya bidhaa za kielektroniki ya Life is…

Soma Zaidi »

FIFA yaonya siasa Kombe la Dunia

SHIRIKISHO la Kimataifa la Mpira wa Miguu ‘FIFA’ limezionya timu zote zitakazoshiriki Kombe la Dunia nchini Qatar juu ya viashiria…

Soma Zaidi »

TFF yasaini mkataba na Precision Air

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu nchini (TFF), limeingia mkataba wa mwaka mmoja wenye thamani ya Sh milioni 108 na Shirika…

Soma Zaidi »

Nabi akili nyingi mechi na Watunisia

KOCHA wa Yanga, Nasreedin Nabi amekataa kuwataja wachezaji wawili watakaosekana kwenye mchezo wa kesho wa Kombe la Shirikisho Barani Afrika…

Soma Zaidi »
Back to top button