Kanda

Mlinzi gesti auawa na watu wasiojulikana

MLINZI wa nyumba ya kulala wageni katika Kijiji cha Buseresere, Kata ya Buseresere Halmashauri ya Wilaya ya Chato mkoani Geita…

Soma Zaidi »

‘Hausiboi’ aua mke wa Mwenyekiti wa Mtaa

JESHI la Polisi mkoani Kagera, linamtafuta Paschale Kagwa, anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 22, akidaiwa kufanya mauji ya mke…

Soma Zaidi »

Waziri Mkuu aanza ziara Songwe

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa leo Februari 13, 2023 ameanza ziara ya kikazi ya siku tatu katika Mkoa wa Songw,e ambapo…

Soma Zaidi »

Mv Mwanza Hapa Kazi kuzinduliwa Jumapili

MELI ya Mv Mwanza Hapa Kazi itashushwa katika maji Jumapili wiki hii kwa ajili ya matengenezo ya mwisho. Ofisa Mtendaji…

Soma Zaidi »

Samia atoa maagizo vyeti vya kuzaliwa

RAIS Samia Suluhu Hassan ameagiza watoto wote wenye umri chini ya miaka mitano na wale walio katika taasisi za elimu…

Soma Zaidi »

Aliyemkata kiganja mkewe jela miaka 4

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Arusha, imemhukumu kifungo cha miaka minne jela  aliyekuwa mtumishi wa Shirikala UmemeTanzania (Tanesco), Ombeni Alfayo na…

Soma Zaidi »

Ataka ubunifu mifumo ya Tehama

NAIBU Waziri Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Deogratius Ndejembi ameagiza Mamlaka ya Serikali Mtandao…

Soma Zaidi »

DC Rungwe azindua vyumba vya madarasa

MKUU wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu amezindua vyumba  sita vya madarasa katika shule ya Msingi Kinyangwa iliyopo Kijiji cha…

Soma Zaidi »

RC Singida awapa somo MaDC wapya

WAKUU wapya wa Wilaya mne za Mkoa wa Singida, wametambulishwa rasmi kwa viongozi wenzao wa halmashauri zote za mkoa huo…

Soma Zaidi »

‘Msisubiri matukio nendeni vijijini mkaibue mambo’

KATIBU Tawala wa Mkoa wa Singida, Dorothy Mwaluko, ametaka wanahabari na maafisa habari kwenye taasisi za serikali kuacha kufanya kazi…

Soma Zaidi »
Back to top button