NDUGU wa marehemu Athanas Mrema aliyekuwa akisafirishwa katika gari lililopata ajali na kuua watu 20 Korogwe mkoani Tanga, wamedai kuwa…
Soma Zaidi »Kanda
SHIRIKA lisilo la kiserikali Agrithaman, limetoa mafunzo kwa vijana 30 wanaotoka katika mashirika mbalimbali mkoani Kagera kuhusu nafasi ya vijana…
Soma Zaidi »IDADI ya watu waliokufa katika ajali iliyotokea wilayani Korogwe mkoani Tanga imeongezeka kutoka 17 hadi 20. Mkuu wa Mkoa wa Tanga,…
Soma Zaidi »MWENYEKITI wa Chama cha Ushirika wa Akiba na Mikopo cha Walimu Iramba (CHAMWAI), Ali Mwekwa, amekana kutia saini nyaraka tofauti…
Soma Zaidi »UONGOZI wa hifadhi za Taifa za Ibanda, Kyerwa na Rumanyika, Karagwe umetoa mafunzo kwa walimu wa masomo ya maarifa ya…
Soma Zaidi »WATU 17 wamefariki dunia na wengine 12 kujeruhiwa katika ajali iliyohusisha fuso na gari la abiria ambalo lilikuwa limebeba maiti…
Soma Zaidi »Baraza la Madiwani Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi, limemuagiza Mkurugenzi Mtendaji wa manispaa hiyo kushughulikia suala la mipaka…
Soma Zaidi »MEYA wa Manispaa ya Mtwara Mikindani mkoani Mtwara, Shadida Ndile amewataka watendaji wa manispaa hiyo kutoa elimu ya mlipa kodi…
Soma Zaidi »MKUU wa Mkoa wa Arusha, John Mongella amewaapisha wakuu wapya wa wilaya za Arusha, Longido na Arumeru na kuwaasa kuwa…
Soma Zaidi »ZAIDI ya miche ya miti milioni 2 imepandwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi na kuifanya Halmashauri hiyo…
Soma Zaidi »







