Kanda

Majaliwa: ‘Nilikuwa nakusanya pesa nikasome udereva’

MAJALIWA ni jina linalovuma ndani na hata nje ya nchi baada ya kuwa ‘raia wa kwanza’ aliyeshuhudia na kushiriki kikamilifu…

Soma Zaidi »

Mbunge ashangaa CHADEMA kudai “hakikumteua”

MBUNGE wa Viti Maalumu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Cecilia Pareso ameieleza Mahakama kuwa hakuna mtu anayeweza kujiteua…

Soma Zaidi »

Anayetuhumiwa kutakatisha Sh bil 1.5 asomewa mashtaka 106

MFANYABIASHARA Gastom Danda maarufu James, mkazi wa Mbezi Beach Dar es Salaam, amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi kisutu…

Soma Zaidi »

Rais Samia ataka mvuvi wa Precision Air apewe kazi

RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu ameagiza kijana Majaliwa Jackson, mvuvi aliyeshiriki kuokoa abiria kwenye ajali ya ndege mkoani Kagera akabidhiwe…

Soma Zaidi »

Waziri Mkuu ampa Sh milioni 1 mvuvi ‘shujaa’ uokozi Precision Air

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ametoa mkono wa pongezi wa Sh milioni 1 kwa mvuvi aliyefahamika kwa jina la Majaliwa ambaye…

Soma Zaidi »

Bunge latoa pole ajali ndege ya Precision Air

BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limetoa pole kwa ndugu, jamaa na marafiki waliofikwa na msiba baada ya kutokea…

Soma Zaidi »

Miili 19 ya marehemu ajali ya Precision air kuagwa leo

MIILI 19 ya marehemu wa ajali ya ndege ya Precision Air imewasili katika uwanja wa Kaitaba Manispaa ya Bukoba mkoani…

Soma Zaidi »

Watano MDH wapoteza maisha ajali ya Precision Air

WAFANYAKAZI watano kati ya nane wa Shirika la Menejimenti na Maendeleo ya Afya (MDH) waliokuwa wakisafiri kwa ndege ya Precision…

Soma Zaidi »

Miili 19 ajali ya ndege Ziwa Victoria yatambuliwa

MIILI 19 ikiwa ni pamoja na wanafamilia wawili na rubani wa ndege iliyopatikana kwenye eneo la ajali ya ndege ya…

Soma Zaidi »

Majaliwa awajulia hali manusura Precision Air

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa leo Jumapili Novemba 6, 2022 amewasili Mkoani Kagera kushuhudia zoezi la uokoaji linaloendelea kufuatia Ndege ya…

Soma Zaidi »
Back to top button