Kanda

Vifo ajali ya Precision air vyafika 19, wamo marubani

IDADI ya watu waliofariki katika ajali ya ndege ya Precision Air imefikia 19 wakiwemo marubani wa ndege hiyo, Waziri Mkuu…

Soma Zaidi »

Watatu wafariki dunia ajali ya ndege Bukoba

WATU watatu waliokuwa kwenye ndege ya Precision Air iliyotumbukia Ziwa Victoria ilipokuwa ikikaribia uwanja wa ndege wa Bukoka wamefariki dunia,…

Soma Zaidi »

Raia wa Burundi akamatwa na AK47 Chato

JESHI la Polisi mkoani Geita linamushikilia raia wa Burundi kwa tuhuma za kuingia nchini kinyume cha sheria pamoja na kumiliki…

Soma Zaidi »

Mvuvi asimulia baada ya kuokoa saba Precision air

HASHIMU Rashidi mvuvi na mkazi wa Nyamukazi Mwaloni ameokoa abiria saba (7) waliokuwa katika ndege ya Precision air iliyopata ajali…

Soma Zaidi »

Raia wajipanga kuokoa Precision Air kwa kamba

RAIA kadhaa wamejipanga msitari kusaidia kuinusuru ndege ya shirika la ndege la precision air isizame majini baada ya kuanguka katika…

Soma Zaidi »

Precision Air yaanguka Ziwa Victoria ikitua Bukoba

Ndege ya Shirika la Ndege la Precision Air imepata ajali na kuanguka katika Ziwa Victoria karibu na Uwanja wa Ndege…

Soma Zaidi »

Ticha wa Madrasa mbaroni kwa kulawiti watoto 10

JESHI la Polisi mkoani Shinyanga linamshikilia Mwalimu wa Madrasa wa Msikiti wa Mohamed Shunu uliopo kata ya Nyahanga wilayani Kahama…

Soma Zaidi »

Vigogo Wizara, Bodi ya mikopo wahojiwa Dodoma

KAMATI ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii leo, Ijumaa, imewahoji viongozi wa Wizara ya Elimu na Teknolojia pamoja…

Soma Zaidi »

Ajali yaua wafanyakazi wa Tanesco Ileje

WAFANYAKAZI wawili wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) wilayani Ileje mkoani Songwe, wamekufa na wengine 16 kujeruhiwa katika ajali na…

Soma Zaidi »

‘Waandishi wa habari simamieni wenyewe maslahi yenu’

VIONGOZi wa Klabu za waandishi wa habari kwenye mikoa mbalimbali nchini, wamesisitizwa kusimamia na kutetea maslahi yanayohusu waandishi wa habari…

Soma Zaidi »
Back to top button