Kanda

Maeneo yenye migogoro kufanyiwa uhakiki Katavi

SERIKALI itafanya uhakiki wa maeneo ya vijiji yenye muingiliano wa mipaka ambayo yanaonekana kuwa na migogoro ya ardhi mkoani Katavi.…

Soma Zaidi »

Sh Bil 2 kupelekwa Barabara Inyala

WAZIRI wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa, amemuagiza Katibu Mkuu wa Ujenzi, Balozi Aisha Amour, kupeleka kiasi cha Sh…

Soma Zaidi »

‘Usaili wa ajira ufanyike mikoani’

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Utawala Bora, Jenista Mhagama, ameagiza mifumo iboreshwe mikoani kwa…

Soma Zaidi »

Serikali kutoa kipaumbele wanawake, watoto

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa, amesema serikali itaendelea kutoa kipaumbele kuhakikisha wanawake na watoto wa kike wanapata huduma wezeshi, zikiwemo za…

Soma Zaidi »

Wasichana 1000 Mwanza kufundishwa ujasiriamali

ZAIDI ya wasichana 1000 kutoka Wilaya ya Ilemela, mkoani Mwanza wanatarajia kunufaika na mafunzo ya ujasiriamali kupitia mradi wa Imarisha…

Soma Zaidi »

RC Tanga anusa ufisadi Hospitali Mkinga

MKUU wa Mkoa wa Tanga, Omar Mgumba ameiagiza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (Takukuru),  mkoani hapa  kufanya…

Soma Zaidi »

Wabunge wakagua miundombinu upokeaji mafuta

KAMATI ya Bunge ya Bajeti, imetembelea mkoani hapa kwa ajili ya kuangalia miundombinu ya upokeaji wa mafuta na ile ya…

Soma Zaidi »

‘Watumishi msiwe waoga kueleza changamoto zenu’

NAIBU Waziri Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora, Deo Ndejembi, amewataka watumishi wa umma nchini, kutoogopa kutoa malalamiko yao…

Soma Zaidi »

Takukuru yaagizwa kufuatilia ujenzi wa madarasa

MKUU wa Wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi, Onesmo Buswelu, ameiagiza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), wilayani humo,…

Soma Zaidi »

Ajali ya basi, gari ya msiba yaua watano

WATU watano wamefariki dunia  wengine   26 kujeruhiwa baada ya gari aina ya Toyota Coaster iliyokuwa ikisafirisha maiti kugongana uso kwa uso…

Soma Zaidi »
Back to top button