Kanda

Mwinyimvua kidedea wazazi Arusha

MWENYEKITI wa Umoja wa Wazazi Mkoa wa Arusha, Ally Mwinyimvua, amemetetea nafasi yake ya uenyekiti kwa awamu ya pili na…

Soma Zaidi »

Watakiwa kuzingatia sheria za ufugaji Musoma

Editha Majura, Musoma MKURUGENZI wa Halmashauri ya Manispaa ya Musoma mkoani Mara, Bosco Ndunguru ameagiza wananchi kuzingatia sheria za ufugaji…

Soma Zaidi »

Hiki ndicho wanachojivunia wanawake wanaotumia uzazi wa mpango

WAKATI leo mashirika ya serikali, sekta ya binafsi, vyombo vya habari, na watu binafsi wanaadhimisha Siku ya Uzazi wa Mpango,…

Soma Zaidi »

TTB, Njombe waipangia mikakati hifadhi ya Kitulo

BODI ya Utalii nchini (TTB), imepanga kuinua utalii uliopo  Nyanda za Juu  Kusini, husuani mkoa wa Njombe katika hifadhi  ya…

Soma Zaidi »

Waonywa kugawa mashamba pori yaliyofutwa

MKUU wa Mkoa wa Morogoro, Fatma Mwasa, amewaonya wataalamu wa ardhi wa mkoa huo kuacha mpango wa kugawa kwa wawekezaji wengine…

Soma Zaidi »

Polisi yawashikilia 15 mauaji ya wafugaji Tunduru

JESHI la Polisi kupitia kikosi cha kupambana na kuzuia wizi wa mifugo nchini, linawashikilia watuhumiwa 15, wanaodaiwa kuhusika katika tukio…

Soma Zaidi »

Wapewa msaada ujenzi wa shule Inyagantambo

MAMLAKA ya Viwanja vya Ndege nchini, imekabidhi mifuko ya saruji yenye thamani ya Sh milioni 5 kwa uongozi Kijiji cha…

Soma Zaidi »

 ‘Mafunzo yaboreshe kilimo cha korosho’

MKUU wa Wilaya ya Tanganyika, Onesmo Buswelu amewataka wakulima wa korosho wilayani humo, kutumia maarifa na ujuzi katika suala la…

Soma Zaidi »

NGOs Kigoma zatumia bil  20.4/- utekelezaji miradi

MASHIRIKA yasiyo ya kiserikali (NGOs) mkoani Kigoma yametumia Sh bilioni 20.4 katika kutekeleza miradi ya maendeleo kwa wananchi katika kipindi…

Soma Zaidi »

‘Wekeni utaratibu mzuri kwa walimu’

MKUU  wa Wilaya ya Kahama, mkoani Shinyanga,  Festo Kiswaga,  amewataka  maofisa utumishi wa halmashauri za wilaya hiyo, kuhakikisha wanakuwa na…

Soma Zaidi »
Back to top button